Loading...
title : KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO
link : KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO
KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO
Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao. Wafanyakazi hao, ni wale waliofanyiwa usaili kati ya wengi waliokuwa wameomba kazi kupitia mfumo wa ajira wa Kampuni hiyo uliounganishwa kwa APP maalum ya simu, na yao hayo yatakuwa ni ya wiki tatu.
Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wameajiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakielekea sehemu ya kuondokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari wa safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini kwa mafunzo ya awali katika maswala ya Ukaguzi yanayotolewa na Kampuni hiyo kwa wafanyazi wote wanaopata nafasi ya kujiunga nao.
Picha ya pamoja kabla ya kuondoka.
Hivyo makala KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO
yaani makala yote KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kampuni-ya-ey-tanzania-yawapeleka.html
0 Response to "KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAPELEKA WAFANYAKAZI WAKE WAPYA NCHINI AFRIKA KUSINI KWA MAFUNZO"
Post a Comment