Loading...

KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA

Loading...
KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA
link : KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA

soma pia


KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA


Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (katikati) akizungumza na mameneja wa usambazaji wa kazi za filamu (hawapo pichani) kabla ya kufunga semina elekezi kwa mameneja hao leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Barazani Entertainment Bw. John Kalage na kulia ni Mkuu wa Kitengo cha uenezi Bw. Singo Mtambalike

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Barazani Entertainment Bw. John Kalage (Kulia) alipotembelea ofisi hizo leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufunga semina ya mameneja wa usambazaji wa kazi za filamu kutoka mikoa 25 ya Tanzania.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiteta jambo na viongozi wa Barazani Entertainment kabla ya kufunga semina ya mameneja wa usambazaji wa kazi za filamu kutoka mikoa 25 ya Tanzania leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni mkuu wa Mawasiliano kutoka Barazani Entertainment Bw. Jacob Steven na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Barazani Entertainment Bw. John Kalage
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (katikati) katika picha ya pamoja na viongozi wa Barazani Entertainment na mameneja wa usambazaji kazi za filamu baada ya kufunga semina elekezi kwa mameneja hao leo Jijini Dar es Salaam.

Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM


Hivyo makala KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA

yaani makala yote KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/katibu-mtendaji-bodi-ya-filamu-afunga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MTENDAJI BODI YA FILAMU AFUNGA SEMINA YA MAMENEJA WA USAMBAZAJI WA KAZI ZA FILAMU KUTOKA MIKOA 25 YA TANZANIA"

Post a Comment

Loading...