Loading...

Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini

Loading...
Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini
link : Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini

soma pia


Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi. Zuhura Bundala (kushoto) pamoja na maafisa alioongozana nao Bw. Bill Gates

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimsindikiza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.PICHA NA IKULU


Hivyo makala Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini

yaani makala yote Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/matukio-rais-dk-magufuli-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio: Rais Dk. Magufuli akutana na Bilionea Bill Gates na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini"

Post a Comment

Loading...