Loading...

Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya

Loading...
Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya
link : Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya

soma pia


Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya



Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam katikati ni Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simbachawene.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akimkabidhi zawadi Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akionyesha kitabu cha mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam pamoja na Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates katikati na kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simba Chawene.

Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya unaosimamiwa na Taasisi ya Bilionea Billgate Bill & Melinda Gates uliofanyika jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wa kwanza kushoto akisaini kitabu cha wageni wakati alipokutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa pili kushoto katika ofisi ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa afya wa kwanza kulia ni Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na Katibu Mkuu Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya kushoto katika ofisi ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.

Wadau mbalimbali wa sekta ya afya wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu hayupo pichani jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo wa matumizi ya kielektroniki katika sekta ya afya.


Hivyo makala Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya

yaani makala yote Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/matukio-waziri-ummy-mwalimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Waziri , Ummy Mwalimu , Simbachawene na Bilionea Bill Gates wazindua mfumo wa matumizi ya kieletroniki katika sekta ya Afya"

Post a Comment

Loading...