Loading...
title : Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
link : Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji Baraza la Wafanyakazi ambacho kimefanyika leo katika hospitali hiyo. Kikao hicho kinajadili jinsi ya kuboresha huduma za afya zinazotolewa na MNH.
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Museru.
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango, Gerald Jeremia akieleza mikakati ya kuboresha huduma za afya katika kurugenzi ya upasuaji pamoja na huduma nyingine.
Baadhi ya wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Fedha na Mipango leo.
Mshauri Mwelekezi katika Masuala ya Mawasiliano, Dk. Henry Mambo akieleza mkakati wa mawasiliano ambao umeandaliwa kwa ajili ya kufikia malengo ya kutoa huduma bora.
Hivyo makala Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya
yaani makala yote Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/muhimbili-wajadili-mikakati-ya.html
0 Response to "Muhimbili Wajadili Mikakati ya Kuboresha Huduma za Afya"
Post a Comment