Loading...
title : NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara
link : NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara
NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara
KILIO cha wakazi wa jimbo la Haydom wilaya ya Mbulu mkoani Manyara cha kukosa huduma za kibenki toka Tanzania ipate uhuru,kimepata ufumbuzi wa kudumu baada ya NMB benki, kufungua tawi katika mji mdogo wa Haydom.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Sara Msafiri Ally ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Hanang (wa tatu kulia) kikata utepe kuashiria uzindua wa jengo la tawi la NMB lililopo katika mji mdogo wa Haydom. Wa pili kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Straton Chilongola.
Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la Haydom, Flatei Massay, katika kipindi chote hicho, wananchi wa jimbo hilo wamekuwa wakilazimika kufuata huduma za kibenki Mbulu mjini, umbali wa zaidi ya kilometa 90.
Mbunge Massy alisema kitendo cha kufuata huduma za kibenki umbali mrefu kiasi hicho, kumekuwa na madhara mengi na makubwa, ikiwemo gharama kubwa ya usafiri na pia usalama wa fedha. “Umbali huo umesababisha wakulima, wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla, kutunza fedha zao majumbani.
Hivyo makala NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara
yaani makala yote NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/nbm-yafungua-tawi-lake-jipya-mji-mdogo.html
0 Response to "NBM yafungua tawi lake jipya mji mdogo wa Haydom Mkoani Manyara"
Post a Comment