Loading...
title : Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima
link : Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima
Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi,George Simbachawene(wa pili kushoto)akitembelea maonesho kwenye vipando vya kampuni ya mbegu ya Seed Co kabla ya kufungua maonesho ya wakulima na wafugaji Kanda ya Kaskazini(Taso) kwenye viwanja vya Themi,Njiro jijini Arusha,kushoto ni Mtaalamu wa ardhi na mimea wa kampuni hiyo,Philemon Mushi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi,George Simbachawene(kulia)akipewa maelezo ya namna ya kulima bila kutumia udongo na Mtalaamu wa kilimo wa kampuni ya Rijk Zwaan alipotembelea maonesho kwenye vipando vya kampuni ya mbegu hiyo kwenye viwanja vya Themi,Njiro jijini Arusha,kushoto ni Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi,George Simbachawene(wa pili kushoto)akiangalia namna kikundi cha Nronga Women Dairy cha wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinavyojishughulisha na uuzaji wa maziwa kwenye banda la halmashauri ya Hai kwenye viwanja vya Themi,Njiro jijini Arusha,kushoto ni Mkuu wa Hai,Gelasius Byakanwa.
Nteghenjwa Hosseah - Arusha
Nane nane ni miongoni mwa maonyesho maarufu Nchini Tanzania ambayo huwagusa na kuwakutanisha wakulima, wafugaji, wavuvi wa Mjini na Vijijini, Taasisi za Serikali na binafsi zinahusika na sekta hiyo zilizopo ndani na nje ya Nchi pamoja na Wadau wa Kilimo.
Maonyesho ya Nane nane hutoa fursa kwa wadau wote wa sekta ya Kilimo kuonyesha bidhaa mbalimbali za Kilimo, kuuza bidhaa hizo, kubadilishana uzoefu na kujifunza teknolojia mbalimbali zia kuboresha Sekta ya Kilimo ili kuondokana na Kilimo cha kufa na kupona na kuwa Kilimo chenye Tija kinanachofaa kwa biashara na kutosheleza kwa chakula.
Katika historia ya maonyesho haya ambayo wakulima kutoka Halmashauri mbalimbali Nchini hushiriki ili kujifunza teknolojia hizo mpya za Kilimo kumekuwa na mabadiliko kidogo katika eneo la utekelezaji wa Teknolojia hizo katika maeneo yao.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Hivyo makala Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima
yaani makala yote Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/simbachawene-ahamasisha-teknolojia-ya.html
0 Response to "Simbachawene ahamasisha Teknolojia ya Kilimo Ihamishiwe kwa Wakulima"
Post a Comment