Loading...
title : RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI.
link : RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI.
RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI.
Mwambawahabari
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, kujitokeza kwa wingi siku ya juma tatu tarehe 14/08 mwaka huu kumlaki Rais wa Misri Abdul Fatthah Alisisitiza , ambapo anakuja kwa ziara ya kikazi siku mbili.
Akizungumza za jijini Dar es Salaam Mhe Makonda amesema, ujio wa Rais huyo utaambata na na Maafisa wengine ambapo mkoa utafaidika Kiuchumi kwa kuwa wageni hao watakuwa na mahitaji mbali mbali ikiwemo chakua na Malazi .
Amesema megeni atawasili kuanzia majira ya saa sita adhuhuli akitokea Misri na talakiwa na Mwenyeji wake Mhe. Rais Dr John Pombe Magufuli uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu, Nyerere na kuelekea Ikulu Magogoni.
Hivyo makala RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI.
yaani makala yote RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-wa-misri-abdul-fatthah-al-sisi.html
0 Response to "RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA NCHINI."
Post a Comment