Loading...

Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake

Loading...
Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake
link : Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake

soma pia


Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake

MSHINDI wa Shilingi Milioni 20 za Biko kutoka kwenye Bahati Nasibu ya Biko ‘Ijue Nguvu ya Buku’, Anthony Chitanda, amekabidhiwa fedha zake mapema jana katika benki ya NMB, Tawi la Bank House, Posta, jijini Dar es Salam, sambamba na kupewa ushauri wa kifedha.

Chitanda aliibuka kidedea katika droo ya 30 ya Biko iliyochezeshwa juzi Jumatano na kuvuna Sh Milioni 20 zinazotolewa na waendeshaji hao wa Biko, mchezo wa kubahatisha unaoendelea kutingisha katika wilaya na mikoa mbalimbali ya Tanzania.


Akizungumza katika Makabidhiano hayo, Mratibu wa Matukio na Mawasiliano wa Biko, Hassan Melles, alisema kwa kila anayecheza bahati nasibu yao, lazima ajiandae kulala masikini na kuamka tajiri.

Alisema ushindi wa Biko ni rahisi kwa wale wanaocheza kwa kutumia mitandao ya simu ya M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money ambapo namba ya Kampuni ni 505050 na kumbukumbu ni 2456, huku kianzio cha kuchezea Biko kikianzia Sh 1,000 na kuendelea.

“Mbali na kushinda Sh Milioni 20 kama alivyoshinda Chitanda na hatimae kumkabidhi fedha zake siku moja baada ya kushinda, pia Watanzania wanaweza kushinda zawadi za papo kwa hapo kuanzia Sh 5,000, 10,000, 20,000, 50,000, 100,000, 500,000 na Sh Milioni moja, huku wanaocheza mara nyingi zaidi kwa kufanya miamala kwenye simu zao wakiwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda zawadi za papo kwa hapo pamoja na kuingia kwenye droo kubwa ya Jumatano na Jumapili kwa ajili ya kuwania donge nono la Sh Milioni 20,” Alisema.
Mratibu wa Matukio na Mawasiliano wa Bahati Nasibu ya Biko, Hassan Melles kulia amkabidhi mshindi wao wa droo ya 30 Anthony Chitanda katikati katika benki ya NMB, Tawi la Bank House, Posta, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa wa NMB. Makabidhiano hayo yalifanyika jana mchana.
Mshindi wa droo ya 30 Biko Ijue Nguvu ya Buku, Anthony Chitanda kushoto akiwa na mke wake baada ya kukabidhiwa hundi ya fedha zake Sh Milioni 20 saa chache kabla ya kuelekea benki ya NMB, Posta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukabidhiwa fedha zake jana.


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake

yaani makala yote Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/mshindi-wa-milioni-20-za-biko-kimara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mshindi wa Milioni 20 za Biko Kimara Suka akabidhiwa fedha zake"

Post a Comment

Loading...