Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao katika ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na ujumbe aliofuatana nao,(katikati) Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dr.Asha-Rose Migiro
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland (katikati) wakiwa katika mazungumzo pamoja na ujumbe aliofuatana nao Katibu huyo wakiwepo na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,ujumbe huo ulipofika nchini kwa ziara ya kutwa moja,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_12.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar."
Post a Comment