Loading...

SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO

Loading...
SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO
link : SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO

soma pia


SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO


Image result for picha ya wachezaji wa simba

Mwambawahabari 
SIMBA SPORTS CLUB
DAR ES SALAAM
15-8-2017
            TAARIFA KWA UMMA
___________
Klabu ya Simba kesho inatarajiwa kufanya Semina kubwa ya Wanachama wote wa klabu hiyo.
Semina hiyo inalenga kujenga uelewa mpana zaid juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao,na kusajiliwa na Msajili wa Vilabu nchini.
 
Maandalizi yote ya Semina hiyo yamekamilika,na itafanyika kesho tarehe 16-8-2017,Jumatano Saa Nane na Nusu mchana(8.30) na itafanyikia kwenye ukumbi wa Mikumi uliopo kwenye eneo la maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba (PTA) kurasini hapa jijini Dar es salaam.
Tunawaomba wanachama wote popote walipo waje kwa wingi hapo kesho, huku klabu ikiwaomba viongozi wa Simba Wilaya ya Temeke waandae utaratibu mzuri wa kuwapokea wageni.
IMETOLEWA NA….
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI SIMBA SC
SIMBA NGUVU MOJA


Hivyo makala SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO

yaani makala yote SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/semina-ya-wanachama-wa-simba-kuelekea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SEMINA YA WANACHAMA WA SIMBA KUELEKEA KWENYE MFUMO WA HISA KUFANYIKA KESHO"

Post a Comment

Loading...