Loading...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

Loading...
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI
link : MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

soma pia


MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

Mwambawahabari

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kuaga rasmi kwani muda wake wa kutumikia hapa nchini umemalizika
07
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu kiitwacho ‘The Netherlands at its best’  kutoka kwa  Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kuaga rasmi kwani muda wake wa kutumikia hapa nchini umemalizika
13
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks (kushoto) mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam
16
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks (kushoto) na Kaimu Balozi Lianne Houben (kulia) mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
……………………..
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks  ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.

Makamu wa Rais alimhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania itazidi kuimarisha uhusiano wake na nchi ya Uholanzi hasa katika sekta  ya kilimo, elimu na uboreshwaji  wa  mazingira ya uwekezaji ili  kufikia lengo la Tanzania ya Viwanda.

Aidha, Mhe.Balozi aliahidi kuwa mjumbe mzuri wa Tanzania na atarejea mara kwa mara kuja kutembea kwani Tanzania ina watu wema na vivutio vingi vya utalii.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-akutana-na-balozi-wa_15.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI"

Post a Comment

Loading...