Loading...
title : TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA.
link : TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA.
TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imepokea taarifa ya mkemia wa Serikali iliionesha kwamba sampuli ya mkojo wa Video Queen, Agnes Gerald "Masogange" una chembechembe za dawa za kulevya.
Mahakama imepokea sampuli hiyo kama kielelezo namba moja kwa cha ushahidi upande wa mashtaka ambapo baada ya pingamizi la upande wa lilitokuwa likitaka kisipokelewe kutupiliwa mbali
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema pingamizi la upande wa utetezi kuwa fomu zilizopelekwa kwa mkemia hazikufata sheria limetupiliwa mbali.
Amesema shahidi wa kwanza ambaye ni Elia Mulima anahaki ya kuandaa ripoti, kupima sampuli na kutoa ripoti mahakamani.
Ameongeza polisi walipeleka maombi kwa mkemia wa serikali na kwamba ni wazi mshitakiwa alienda kwa mkemia na askari wawili na kumpatia kontena kwa ajili ya kuweka sampuli ya mkojo.
Kesi imeahirishwa kwa muda.

Hivyo makala TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA.
yaani makala yote TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/taarifa-ya-mkemia-wa-serikali-sampuli.html
0 Response to "TAARIFA YA MKEMIA WA SERIKALI: SAMPULI YA MKOJO WA MASOGANGE UNACHEMBECHEMBE ZA DAWA ZA KULEVYA."
Post a Comment