Mkuu wa wilaya ya namtumbo luckiness amlima amekagua ujenzi wa mabweni, vyumba vya madarsa na vyoo katika shule ya sekondari NASULI na NANUNGU iliyopo wilayani hapo na kuridhishwa na ujenzi wake ambao hadi kukamilika kwake itagaharimu kiasi cha shilingi milioni mia tano na kumi na nane.
Hivyo makala WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU
yaani makala yote WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/wilaya-ya-namtumbo-kuboresha-huduma-za.html
0 Response to "WILAYA YA NAMTUMBO KUBORESHA HUDUMA ZA ELIMU"
Post a Comment