Loading...

JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU

Loading...
JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU
link : JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU

soma pia


JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU

Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi (DCP) Leonard Paulo (katikati), akiwa ameongozana na Naibu Kamishna wa Polisi mstaafu (DCP) Venance Tossi (Kushoto) na Mkuu wa chuo cha Polisi Kidatu kilichopo mkoani Morogoro, kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zarau Mpangule, wakati alipowasili katika chuo hicho kwa ajili ya kufunga mafunzo ya Utayari ya kuwajengea uwezo askari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Naibu Kamishna wa Polisi mstaafu (DCP) Venance Tossi (Kushoto), akizungumza jambo na Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi (DCP) Leonard Paulo (katikati), muda mfupi kabla ya kufunga mafunzo ya Utayari ya kuwajengea uwezo askari wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi (DCP) Leonard Paulo, akifanya mazoezi ya viungo na baadhi ya askari wanaoshiriki Mafunzo ya Utayari na kujengewa uwezo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi, mafunzo yanayofanyika katika Chuo cha Polisi Kidatu Kilichopo mkoani Morogoro. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU

yaani makala yote JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/jeshi-la-polisi-lafunga-mafunzo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI KATIKA CHUO CHA POLISI KIDATU"

Post a Comment

Loading...