Loading...

Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule

Loading...
Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule
link : Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule

soma pia


Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule

Meneja Mkuu Masoko, wa kampuni ya LG Electronics, Tawi la Afrika Mashariki, Moses Marji (kulia) na Ofisa wa LG, Mohamed Ibrahim, wakimvisha sare mpya ya shule, mwanafunzi, Issa Abas, mwenye ulemavu wa ngozi, albinism katika Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko jiji Dar es Salaam, jana, wakati kampuni hiyo ya LG Electronics imetoa msaada wa sare za shule kwa Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko kama sehemu ya Wajibu wa Jamii wa Kampuni kwa lengo la kusaidia watoto wenye ulemavu nchini Tanzania, kufuatia shule hiyo ya Uhuru Mchanganyiko kukabiliwa na changamoto mbalimbali katika kuwaelimisha watoto wenye ulemavu ambao wana mahitaji maalum.
Meneja Mkuu Masoko, wa kampuni ya LG Electronics, Tawi la Afrika Mashariki, Moses Marji (kulia) na Ofisa wa LG, Mohamed Ibrahim, wakimvisha sare mpya ya shule, mwanafunzi, Kelvin Joseph, mwenye ulemavu wa kutosikia, katika Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko jiji Dar es Salaam, jana, wakati kampuni hiyo ya LG Electronics imetoa msaada wa sare za shule kwa Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko kama sehemu ya Wajibu wa Jamii wa Kampuni kwa lengo la kusaidia watoto wenye ulemavu nchini Tanzania, kufuatia shule hiyo ya Uhuru Mchanganyiko kukabiliwa na changamoto mbalimbali katika kuwaelimisha watoto wenye ulemavu ambao wana mahitaji maalum.
Meneja Mkuu Masoko, wa kampuni ya LG Electronics, Tawi la Afrika Mashariki, Moses Marji (katikati mwenye kofia) , katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko jiji Dar es Salaam, jana, wakati kampuni hiyo ya LG Electronics imetoa msaada wa sare za shule kwa Shule ya Msingi ya Uhuru Mchanganyiko kama sehemu ya Wajibu wa Jamii wa Kampuni kwa lengo la kusaidia watoto wenye ulemavu nchini Tanzania, kufuatia shule hiyo ya Uhuru Mchanganyiko kukabiliwa na changamoto mbalimbali katika kuwaelimisha watoto wenye ulemavu ambao wana mahitaji maalum.



Hivyo makala Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule

yaani makala yote Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/kampuni-ya-lg-electronics-yatoa-msaada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kampuni ya LG Electronics Yatoa Msaada wa Sare za Shule"

Post a Comment

Loading...