Loading...

ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA

Loading...
ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA
link : ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA

soma pia


ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea zawadi ya Mbuzi iliyotolewa na Askari wa kike wa Wilaya ya Serengeti baada ya kuzungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa Wilaya hiyo wakati wa Ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kubaini changamoto za kihalifu na kuzipatia ufumbuzi. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara ACP Juma Ndaki .
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifurahia ngoma na kikundi cha utamaduni cha Kijiji cha Rubanda Wilayani Serengeti wakati alipofika kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho wakati wa Ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kubaini changamoto za kihalifu na kuzipatia ufumbuzi. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Rubanda Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wakati wa Ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kubaini changamoto za kihalifu na kuzipatia ufumbuzi. (Picha na Jeshi la Polisi) 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima wakati alipofika ofisini kwake na kukutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo wakati wa Ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kubaini changamoto za kihalifu na kuzipatia ufumbuzi. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Nurdin Babu wakati alipofika ofisini kwake na kukutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo wakati wa Ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa yenye lengo la kubaini changamoto za kihalifu na kuzipatia ufumbuzi.


Hivyo makala ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA

yaani makala yote ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ziara-ya-igp-sirro-yaendelea-wilaya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA IGP SIRRO YAENDELEA WILAYA YA SERENGETI MKOANI MARA"

Post a Comment

Loading...