Loading...
title : Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru.
link : Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru.
Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewachia huru Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji na wenzake wawili waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu uchumi.
Manji na wenzake wameachiwa baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kuwasilisha hati ya kuomba kuondolewa kwa mashitaka dhidi yao kwa kuwa hana nia ya kuendelea kuwashitaki.
Baada ya Wakili waSerikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi, kueleza nia hiyo ya DPP, Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi, aliyekuwa akisikiliza shauri hilo aliliondoa na kuwaachia huru washitakiwa hao.
Manji na wenzake ambao waliletwa Mahakamani hapo wakitokea Mahabusu Gereza la Keko, waliondoka Mahakamani hapo kwa kutumia magari binafsi kurejea makwao.
Hivyo makala Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru.
yaani makala yote Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mahakama-yafuta-kesi-ya-manji-na-wezake.html
0 Response to "Mahakama Yafuta Kesi ya Manji na Wezake ya Uhujumu Uchumi, Sasa Wapo Huru."
Post a Comment