Loading...

Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar.

Loading...
Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar.
link : Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar.

soma pia


Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA)Mwalim Ali Mwalim akimtangaza mshindi wa Zabuni ya Uletaji Mafuta katika Visiwa vya Zanzibarwa miezi miwili Novemba na Disemba, baada ya kufanyika kwa mchakato wa kumtafuta mshindi,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibarkwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Baadhi ya Wawakilishi wa Makampuni yalioomba zabuni ya Uingizaji Mafuta wakijitambulisha katika Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba, hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji katikati akionesha Bahasha za waombaji wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Haji Kali Haji akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya zoezi la kumtafuta na kumpata mzabuni wa Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.
Muakilishi wa Kapuni ya Augusta Energy yenye makazi yake Geneva Switzerland Orlando D'costa akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutangazwa kua mshindi wa Zabuni ya Uingizaji mafuta  Zanzibar kwa miezi miwili Novemba na Disemba,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View kilimani mjini Unguja.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar.

yaani makala yote Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mkutano-wa-zura-ufunguzi-wa-awamu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa ZURA Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya Uingizaji wa Mafuta wa Pamoja Wafanyika Zanzibar."

Post a Comment

Loading...