Loading...
title : MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA
link : MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA
MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA
Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo ametembelewa Ofisini kwake na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zuber na kufanya Mazungumzo.
Katika Mazungumzo hayo Mufti amemtia Moyo Mhe. Makonda na kumsihi asikate tamaa sababu kazi anayoifanya ni Njema na inagusa watu wa makundi yote hususani Wanyonge.
Aidha Mufti amemuunga mkono RC Makonda kwa kumletea mdau atakaejenga Ofisi za Walimu kwenye Shule tatu.
"Nimeona nisikae kimya ndio maana nimeona niunge mkono Kampeni yako ya Ujenzi wa Ofisi za Walimu kwa kutafuta mdau ambae atajenga Ofisi kwenye Shule Tatu ili Walimu wafanye kazi kwenye mazingira mazuri"Alisema Mufti.
Mhe. Makonda amemshukuru Mufti kwa kumtembelea na kusema kuwa ataendelea na jitiada zake za kufanya kazi kwa bidii ili kutatua changamoto za Wakazi wa Dar es salaam.
Aidha Mkuu wa Mkoa amewaomba Viongozi wa Dini na Vyama vya Siasa kujitoa kwa pamoja ili kuijenga Dar es Salaam
Hivyo makala MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA
yaani makala yote MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mufti-wa-tanzania-amtembelea-rc-paul.html
0 Response to "MUFTI WA TANZANIA AMTEMBELEA RC PAUL MAKONDA"
Post a Comment