Loading...
title : WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
link : WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo John Lipes Kayombo akizungumza na wadau wa Elimu hawapo pichaniMwambawahabari
wanafunzi 11638 wa darasa la saba wanatarajia kuanza kufanya mitihani ya kumaliza elimu ya msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ambayo itamalizika tarehe 7/9/2017.
Idadi hiyo imejumuisha wanafunzi kutoka shule za serikali na binafsi ambapo wasichana ni 5958 na wavulana 5680.
Akizungumza kuhusu maandalizi ya mtihani huu Mkurugenzi amesema maandalizi yote ya msingi yapo vizuri kabisa na yamekamilika kwa wakati.
Pia alitoa msisitizo kwa wale wote waliochaguliwa kusimamia mitihani hiyo kuwa waaminifu na kwa kufuata sheria walizoelekezwa za usimamizi wa mitihani.Asingependa kutokee aina yoyote ya udanganyifu katika shule za Manispaa ya Ubungo.
Aidha amewatakia kila la kheri katika mtihani huu watahiniwa wote katika shule za Manispaa ya Ubungo
Nae afisa elimu ndg.Chausiku Masegenya akitoa wito kwa wazazi amesema ni vyema wazazi wakazingatia kuhakikisha watahiniwa wanawahi shuleni kwa wakati ili kuepuka usumbufu na kuwahi kupata maelekezo kwa wakati.
Aidha alisisitiza kwa wanaosimamia mitihani hiyo kuwahi kwenye vituo vyao kwa wakati ili mambo yaende kama yalivyopangwa.
Mtihani wa kumaliza darasa la saba hufanyika kila mwaka hapa nchini ikiwa ni hatua ya kuingia elimu ya sekondari.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
Hivyo makala WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO
yaani makala yote WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/wanafunzi-11638-wanatarajia-kufanya.html
0 Response to "WANAFUNZI 11638 WANATARAJIA KUFANYA MITIHANI YA KUMALIZA DARASA LA SABA KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO"
Post a Comment