Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Mwambawahabari

1
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akibidhi Rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
5
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
6
Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara baada ya kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rais-dkt-magufuli-atoa-rambirambi-msiba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI ATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA SHEHE SAAD ZUBEIR ALLY KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...