Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba
Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dr. Philip I Mpango akitowa maelezo na kuzungumza kuhusiana na mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Kupiga vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na ugaidi katika Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Fedha wa Nchi 18 za Mashariki na Kusini Mwa Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
.
Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk/ Ali Mohamed Shein, wakati akifungua mkutano huo wa Mawaziri wa Fedha.
Ujumbe wa Mawaziri wa Tanzania wakifuatlia Mkutaho huo wa ufunguzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein akihutubia. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Fedha wa Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afraka baada ya kuufungua mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Nchi hizo 18 uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_9.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Afungua Mkutano wa Kupiga Vita Utakasishaji wa Fedha Haramu na Ugaidi Zanziba"
Post a Comment