Loading...
title : NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
link : NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiongea na wanahabari baada ya kufanya ziara ya kushtukiza, kufuatilia Almasi iliyokamatwa ikisafirishwa kwenda nje ya nchi huku ikiwa imethaminiwa chini ya kiwango katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Naibu Kamishna Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Brigedia Jenerali John Mbungo, Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere na Kushoto kwake ni Kamishna wa Madini Tanzania Mhandisi Benjamini Mchwampaka Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano na kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Bw. John Biswalo. Taarifa kamili kuwajia punde.
Hivyo makala NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
yaani makala yote NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/news-alert-waziri-wa-fedha-na-mipango.html
0 Response to "NEWS ALERT: Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango afuatilia almasi iliyokamatwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam"
Post a Comment