Loading...
title : Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN
link : Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN
Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN
Baada ya Msanii wa Bongo Fleva, Nasib Abdul (Diamond Platinumz) kumwimba Mzee Onyango kuwa zilipendwa sasa mzee huyo ameibuka na kukana kuwa yeye sio Zilipendwa.
Hatimaye Mzee Onyango ambaye ni mwigizaji mkongwe nchini Tanzania amemjibu Diamond Platinumz kwa vitendo baada ya kuachia filamu yake mpya ya iitwayo BABU THE PERFECT MAN kupitia kampuni yake ya ONYANGO PRODUCTION.
"Nashangaa sana kusikia Diamond Platinumz kuimba kwamba mimi na Mzee Jangala zilipendwa, mtoto huyu amenikosea sana mimi bado napendwa na mashabiki zangu bado wanaamini kuwa nina uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi ya uigizaji bila tatizo lolote" alisema Mzee Onyango.
Hivyo makala Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN
yaani makala yote Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/mzee-onyango-akana-yeye-si-zilipendwa.html
0 Response to "Mzee Onyango akana yeye si Zilipendwa, aachia filamu mpya iitwayo BABU THE PERFECT MAN"
Post a Comment