Loading...
title : SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA
link : SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA
SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifurahi jambo wakati akimsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alipomtembelea ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (wa kwanza kulia) akifurahi katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alipomtembelea ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma na Mheshimiwa Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Watu wenye Ulemavu .
Hivyo makala SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/spika-wa-baraza-la-wawakilishi-zanzibar_92.html
0 Response to "SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA"
Post a Comment