Loading...

UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA.

Loading...
UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA.
link : UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA.

soma pia


UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA.

UCHAGUZI wa marudio wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao.
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imekuwa ikikutana kuangalia uwezekano wa kuahirisha Uchaguzi huu baada ya kampuni ya Ufaransa ya Safran Morpho kuomba muda zaidi kuboresha mitambo inayotumiwa kuwatambua wapiga kura.

Mbali na hilo, Muungano wa Upinzani Nasa, unaoongozwa na Raila Odinga, umesema Uchaguzi hautafanyika iwapo marekebisho hayatafanyika ndani ya Tume ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na kujiuzulu kwa Ezra Chiloba Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo.

Chama cha Jubilee cha rais Uhuru Kenyatta kinashutumu shinikizo hilo la upinzani na kusisitiza uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa.


Hivyo makala UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA.

yaani makala yote UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/uchaguzi-kenya-kuairishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHAGUZI KENYA KUAIRISHWA."

Post a Comment

Loading...