Loading...
title : Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji
link : Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji
Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akikata keki kuashiria uzinduzi wa Chama cha washereheshaji (WSB) 'Wakali wa sherehe Bongo' jijini Dar es Salaam leo. Kutoka (kushoto) ni Moafisa wakuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Rose Mahendeka na Julius Mjenga, Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba na Katibu wa chama hicho, Reuben Ndimbo.
Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba akiongea wakati wa uzinduzi huo.
Afisa Mkuu wa Elimu kwa mlipa Kodi, Julius Mjenga akitoa mada kwa wana WSB.
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akimpa za wadi ya diary Mwenyekiti wa WSB, Lameck Matemba
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na wana WSB na wageni wao.
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa WSB.
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo
Mkurugenzi wa huduma na Elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akitoa elimu kwa wanachama wa WSB.
Hivyo makala Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji
yaani makala yote Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/uchumi-tra-yatoa-somo-la-kodi-kwa.html
0 Response to "Uchumi : TRA yatoa somo la Kodi kwa Washereheshaji"
Post a Comment