Loading...

Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire

Loading...
Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire
link : Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire

soma pia


Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire



Mhifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire Beatrice Ntambi akizungumza na waandishi wa chama cha waandishi mkoani Arusha(APC)waliokwenda kutembelea hifadhi hiyo kwa lengo la kujifunza na kutangaza utalii wa ndani

Sehemu ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini

Mratibu wa Arusha Press Club, Seif Mangwangi akiorodhesha majina ya waandishi wanaoingia katika hifadhi ya Tarangire katika ziara ya mafunzo pamoja na kutangaza utalii wa ndani

Picha ikionyesha fuvu la mnyama aina ya Tembo

Sehemu ya makundi makubwa ya tembo wanaopatikana katika hifadhi ya Taifa ya Tarangire

Twiga wakionekana vizuri katika hifadhi ya Tarangire

Tembo wakizunguka ndani ya hifadhi ya Tarangire

Katika hifadhi hii utakuta aina ya miti mikubwa ya mibuyu inayosadikika kuishi mamia ama maelfu ya miaka ambayo pia ni kivutio kikubwa katika hifadhi ya Tarangire

Wanahabari wakichukua taswira katika hifadhi ya Tarangire

Wanahabari wakichukua Selfiee kabla ya kuanza safari kuelekea kujionea vivutio ndani ya hifadhi ya Tarangire



Makundi ya Tembo yakiwa katika hifadhi ya Tarangire

Baadhi ya wanachama wa Arusha Press Club wakiwa katika picha ya pamoja katika lango la kuingilia katika hifadhi ya Taifa Tarangire

(Habari Picha na Pamela Mollel,Arusha)


Hivyo makala Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire

yaani makala yote Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/utalii-wa-ndani-apc-yatembelea-hifadhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii wa Ndani : APC Yatembelea Hifadhi ya Tarangire"

Post a Comment

Loading...