Loading...

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO

Loading...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa zao la Korosho kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma Septemba 5, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi pamoja na Bodi ya Korosho Tanzania zifanye tathimini ya maandalizi ya msimu ujao kwa wakati na zimpatie taarifa mara moja.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jana usiku (Jumanne, Septemba 5, 2017) wakati akizungumza na wadau wa zao la korosho kwenye kikao alichokiitisha ofisini kwake mjini Dodoma kujadili mwenendo wa zao la korosho na ununuzi wa pembejeo.

“Lipo tatizo la tathmini ya maandalizi ya msimu kutofanyika kwa wakati na kusababisha matatizo kutotatuliwa kwa wakati. Bodi na Wizara zitoe tathimini ya maandalizi ya msimu ujao kuhusu vyama vya ushirika vilivyojipanga, upatikanaji wa vifaa kama magunia na nyuzi, maghala, masoko, mizani, minada, malipo na mfumo wake,” alisema.

Waziri Mkuu pia alizitaka Wizara ya Kilimo pamoja na Bodi ya Korosho zitoe tathimini ya maandalizi ya msimu ujao katika maeneo ya mashamba, miche, pembejeo na viatilifu. Alisema tangu Serikali iamue kusimamia mazao makuu matano ya pamba, chai, kahawa, korosho na tumbaku hajapata muda wa kukaa na kuongea na wadau wote. “Serikali imeamua kufuatilia usimamizi wa mashamba; kusimamia upatikanaji wa mbegu, miche na pembejeo; kufuatilia uvunaji na mfumo wa masoko ya korosho na pia kufuatilia mfumo wa ushirika katika baadhi ya mazao,” alisema.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-wadau.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA KOROSHO OFISINI KWAKE DODOMA , AWATAKA WAFANYENI TATHMINI YA ZAO LA KOROSHO"

Post a Comment

Loading...