Loading...

Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi

Loading...
Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi
link : Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi

soma pia


Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi




Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kutoka sehemu mbalimbali wakiungana na wajumbe wenzao pamoja na viongozi wa Tanna Mkoa wa Lindi jana katika kufanya maandalizi ya Mkutano Mkutano Mkuu wa 45 unao tarajiwa kufanyika Oktoba 4-6 Kitaifa ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.( PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)





Mwenyekiti wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kulia) mwenyeshati la kitenge akisalimiana na mjumbe wa Kamati kuu ya Chama hicho kutoka Arusha, Hosea Naman mara alipofika Mkoani humo kwa niaba ya Mkutano Mkuu wa Chama hicho.





Wajumbe wa Chama Cha Wauguzi (TANNA) wakiwa katika safari kuelekea Mkoa wa Lindi katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho unao tarajiwa kufanyika Oktoba 4-6 Kitaifa ambapo unatarajiwa kufunguliwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa.







Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Lindi, Damasiana Msala (kulia) akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi (TANNA) mara walipowasili katika mkoa huo jana

Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo (wa katikati) akisalimia wajumbe mara baada ya kuwasili katika Mkoa huo jana, kulia ni Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Lindi, Damasiana Msala na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga

Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga (kushoto) akisalimia wajumbe mara walipowasili jana Mkoani Lindi, kulia ni Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Mkoa Lindi, Damasiana Msala na Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo

Mkurugenzi wa Maendeleo wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Charles Soloka (kushoto) atowa taarifa ya majumuoisho ya maandalizi ya Mkutano huo jana


Hivyo makala Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi

yaani makala yote Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/afya-wajumbe-mkutano-mkuu-wa-45-chama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Afya : Wajumbe Mkutano Mkuu wa 45 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Safarini Lindi"

Post a Comment

Loading...