Loading...

Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake

Loading...
Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake
link : Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake

soma pia


Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake

Mwambawahabari 



Spika wa Bunge, Job Ndugai amemshukuru aliyekuwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kwa utumishi uliotukuka.

Ametoa shukrani hizo leo Jumatatu Ikulu jijini hapa baada ya Rais John Magufuli kuwaapisha mawaziri, manaibu na Katibu wa Bunge mpya, Stephen Kagaigai.

Spika Ndugai pia amewakaribisha mawaziri, manaibu na katibu huyo bungeni mjini Dodoma.

“Ninyi mnatokana miongoni mwetu katika nyumba ile ya wabunge. Rais ameona awape nyadhifa hizi, kubwa na la kipekee nimkaribishe Katibu wa Bunge mpya Kagaigai na kipekee nimshukuru Dk Kashililah, asante sana kwa utumishi uliotukuka hatutakusahau,” amesema.

Amesema timu ya Baraza la Mawaziri ana imani nayo kwamba itafanya kazi vyema. Baada ya kuapishwa leo, watakutana katika kikao cha Baraza la Mawaziri.

“Mje Dodoma mmejiandaa, hii miaka miwili ya mwanzo walikuwa wanajifunza funza, sasa tukienda Dodoma itakuwa ni kazi tu,” amesema Spika Ndugai.

Wakati huohuo, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema kile walichokitamka katika kiapo cha uadilifu wanapaswa kukizingatia kwa kufuata utaratibu wa kisheria na Katiba ili kuepusha migongano.


Hivyo makala Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake

yaani makala yote Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/baada-ya-kashilila-kutumbuliwa-ndugai.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Baada ya kashilila kutumbuliwa Ndugai akumbuka Utumishi wake"

Post a Comment

Loading...