Loading...
title : Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
link : Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 26/10 /2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) Salum Nassor Khamis alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu taasisi yake wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Hivyo makala Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.
yaani makala yote Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/dkshein-azungumza-na-uongozi-wa-wizara_40.html
0 Response to "Dk.Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar."
Post a Comment