Loading...

Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana

Loading...
Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana
link : Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana

soma pia


Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana

Gari la Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema  limechomoka matairi leo Jumatatu baada kudaiwa kuwa limefunguliwa nati 13 kati ya 20 na watu wasiojulikana.

Lema amesema walikuwa wamepanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki(Chadema), Joshua Nassari kuondoka na gari hilo jana usiku kuelekea Dar es Salaam kuwasilisha ushahidi wa tuhuma za rushwa za madiwani waliohama Chadema.

Hata hivyo amesema majira ya mchana alipokuwa na gari alihisi mlio kwenye tairi ndipo alikwenda kuliegesha hoteli ya Equator.

Amesema kutokana na kulitilia shaka gari aliomba lifti kwenye gari la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Isack Joseph kwenda naye Dar es Salaam.

"Asubuhi leo (Jumatatu) nikamtuma dereva wangu akachukue gari Equator hoteli alipeleke gereji na baada ya kutoka mita chache tairi zilichomoka," amesema.

Amesema tayari amemuagiza dereva kwenda kutoa taarifa polisi lakini ameiomba kampuni ya  ulinzi ya inteligence inayolinda nyumba yake kufanya uchunguzi kubaini watu walioingia ndani na kufungua nati.

"Pia nimeomba wataalam kupitia kamera za nyumbani kwangu kuona kilichotokea kwani kuna uwezekano wa watu kuingia ndani kufanya uhalifu huo.”


Hivyo makala Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana

yaani makala yote Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/godbless-lema-adai-gari-lake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Godbless Lema Adai Gari lake Limechomolewa nati 13 na Watu Wasiojulikana"

Post a Comment

Loading...