Loading...
title : NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO.
link : NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO.
NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO.
Bank ya NMB tawi la Namtumbo Mkoni Ruvuma imetoa msaada wa vifaa vya hospital ambavyo ni vitanda vya kujifungulia akina mama, vitanda vya kawaida, mashine za shinikizo ya damu na mashuka. Kaimu Meneja bank ya NMB kanda ya kusini Janeth Shango amesema huo ni mpango waliojiwekea NMB ikiwemo kutenga fedha kwa ajili ya kusaidia sekta mbali mbali hapa
nchini.
Hivyo makala NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO.
yaani makala yote NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/nmb-watoa-msaada-wa-vifaa-hospital-ya.html
0 Response to "NMB WATOA MSAADA WA VIFAA HOSPITAL YA WILAYA NAMTUMBO."
Post a Comment