Loading...
title : MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
link : MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Juma akielezea machache kuhusiana na maradhi ya Akili katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Mgeni Rasmi ambae ni Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Ali akitoa hotuba katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wauguzi wakiwa pamoja na Wananchi wakiungana pamoja na vituo mbalimbali vya afya katika maandamano ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
aadhi ya Watoto wenye maradhi ya akili waliohudhuria katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
yaani makala yote MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/maadhimisho-ya-siku-ya-maradhi-ya-akili.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR."
Post a Comment