PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.link :
PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakiwa wamembeba juu juu Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto wakati akiwasili katika uwanja wa mtaa wa Butiama tayarikuhutubia mkutano wa kampeni .(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto akihutubia mkutano mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama(picha na John Luhende).
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakiwakatika mkutano wa Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakimsindikiza Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakimsindikiza Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto aliye upande wa pili kushoto akiwa katika meza kuu kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama, wamwisho kulia ni Mwenyekiti wa Jumiya ya wazazi CCM Mkoa wa Dar es salaam Frank Kalokola Kamugisha.
Wananchi wa kata ya Vingunguti wakipata burudani ya muziki katika mkutano wa kumnadi Mgombea kiti cha Udiwani Kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto katika uwanja wa mtaa wa Butiama.(Picha na John Luhende)
Mgombea kiti cha Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto aliye upande wa kushoto akiwa katika meza kuu kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mtaa wa Butiama, wamwisho kulia ni Mwenyekiti wa Jumiya ya wazazi CCM Mkoa wa Dar es salaam Frank Kalokola Kamugisha.
Hivyo makala PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO.
yaani makala yote PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/picha-za-matukiombalimbali-mgombea.html
Related Posts :
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Hatua h… Read More...
Wateja wa Tigo mjini Morogoro waliojishindia Tiketi za kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta
Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki (kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje (katikati) zawadi ya tiketi… Read More...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la korosho. “Hatutamuacha mtu yeyote atakayesababisha wakulima kuchelewa kulipwa fedha zao. Tutawakamata wote na kuwachukulia hatua stahiki.” Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili, Novemba 5, 2017) alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mbekenyera wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Waziri Mkuu alisema wakulima hao ni lazima walipwe fedha zao kwa wakati na asitokee mtu wa kuzitamani fedha hizo. “Mkulima amelima mikorosho mwenyewe, ameokotoa na kukodoa mwenyewe wao wamepewa dhamana ya kuziuza, hivyo wahakikishe wanawapelekea fedha zao na wala wasizitamani.” Pia Waziri Mkuu amewataka viongozi wa vyama vya Ushirika vya Msingi wahakikishe mkulima hakosi sh. 3,500 katika kilo moja ya korosho atakayoiuza baada ya kukatwa michango. Alisema bei ya juu ya korosho katika minada ya mkoa wa Lindi sh. ni 3,970 na ya chini sh. 3,800. “Vyovyote itakavyokuwa mkulima hawezi kukosa sh. 3,500, viongozi wa AMCOS mnisikie.” Waziri Mkuu alisema hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa bei ya zao la korosho pamoja na kupungua kwa makato ya mkulima ambapo kwa sasa hayazidi sh. 300 katika kilo moja ya korosho.
mwambawahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la koros… Read More...
VIGUTA YAWAPIGA TAFU VIJANA PIKIPIKI 15 KIBAHA
Meneja wa Vicoba group union Tanzania (VIGUTA)Mkoani Pwani ambae pia operesheni Meneja Taifa ,Iddi Kanyallu akimkabidhi mwenyekiti wa CHAMA… Read More...
WAZIRI MKUU AHIMIZA LINDI WAJIPANGE MAANDALIZI YA BARAZA LA MAULID KITAIFA
Mwambawahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Lindi na wana-Ruangwa watumie fursa zilizopo ili kufanikisha maandalizi ya she… Read More...
0 Response to "PICHA ZA MATUKIOMBALIMBALI MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO."
Post a Comment