Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
link : MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemaliza ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama uliofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro na kurejea Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mambo Ndani Mh Mwigulu Nchemba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-aondoka-mkoani.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR"
Post a Comment