Loading...
title : MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE
link : MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE
MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge (kushoto) akipokea taarifa ya Makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ndg. Jordan Rugimbana Oktoba 30, 2017.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge (kushoto) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ndg. Jordan Rugimbana wakitiliana saini taarifa ya Makabidhiano ya ofisi Oktoba 30, 2017.
Picha ya pamoja kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Jordan Rugimbana na Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara baada ya kukamilika kwa tukio la Makabidhiano ya ofisi baina yao Oktoba 30, 2017
Picha ya pamoja kati ya Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Ndg. Jordan Rugimbana pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma mara baada ya kukamilika kwa tukio la Makabidhiano ya ofisi baina ya Ndg. Rugimbana na Dr. Mahenge Oktoba 30, 2017.
Hivyo makala MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE
yaani makala yote MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mkuu-mpya-wa-mkoa-wa-dodoma-akabidhiwa.html
0 Response to "MKUU MPYA WA MKOA WA DODOMA AKABIDHIWA OFISI NA MTANGULIZI WAKE"
Post a Comment