Loading...

NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO

Loading...
NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO
link : NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO

soma pia


NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO

  Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bibi. Sihaba Nkinga akiwashukuru wadau wa masuala ya watoto wakati wa kikao na wadau hao kutoka Shirika la JSI kujadili Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa wa Utambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.
 Afisa Ustawi wa Jamii, Dkt. Philibert Kawemame akiwasilisha  kwa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(wanne kushoto) Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa waUtambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.
 Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kulia) kuhusu Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa wa Utambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO

yaani makala yote NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/nkinga-akutana-na-wadau-kupitia-rasimu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NKINGA AKUTANA NA WADAU KUPITIA RASIMU YA MFUMO JUMUISHI WA KITAIFA WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA WATOTO"

Post a Comment

Loading...