Loading...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA

Loading...
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA
link : RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA

soma pia


RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA

Mwambawahabari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Wananchi wa Butimba na Mkuyuni wakifurahi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao katika eneo la kona ya Butimba wakati akitokea Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags kilichopo Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia utengenezaji wa viti vya plastiki katika kiwanda cha Victoria molders and polybags katika eneo la Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
 John Pombe Magufuli akiangalia mfuniko uliotengenezwa katika kiwanda hicho cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Meya ya jiji la Mwanza James Bwire mara baada ya kufungua kiwanda cha Victoria molders and polybags Igogo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha madawa cha  Prince Pharmaceuticals kilichopo Buhongwa nje kidogo jijini Mwanza.
PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA

yaani makala yote RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rais-mhe-dkt-magufuli-afungua-viwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VIWILI JIJINI MWANZA"

Post a Comment

Loading...