Loading...

RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI.

Loading...
RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI.
link : RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI.

soma pia


RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amempa mwezi mmoja Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Iramba, kujenga vyoo bora katika Mnada uliopo Kijiji cha Malendi, kata ya Mgongo Wilayani humo.

Dkt Nchimbi ametoa agizo hilo mara baada ya kutembelea mnada huo ambapo wananchi wamelalamika kukosa huduma za vyoo na maji kwa kipindi kirefu huku halmashauri ikikusanya ushuru bila kuwaboreshea miundombinu ya mnada huo.

“Mkurugenzi nakupa mwezi mmoja hapa kuwe na vyoo bora vikiwa na matundu sita kwa ajili ya wananchi hawa pamoja na huduma za maji, kipindi cha mvua kinaanza, lazma muwajali wananchi hawa kwakuwa kipindupindu kinaweza kulipuka hapa”, ameeleza Dkt Nchimbi.

Ameongeza kuwa kwakuwa hakuna vyoo wananchi watajisaidia maeneo ya jirani na mnada na mvua zikianza zitatiririsha uchafu huo katika eneo la mnada na makazi ya wanakijiji cha Malendi na hivyo kusababisha mlipuko wamagonjwa hasa Kipindupindu.
 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na wananchi waliokuwa wamepanga foleni kulipa ushuru katika mnada wa Malendi Wilayani Iramba.
 Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi akikagua mnada wa Malendi Wilayani Iramba ambapo amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuhakikisha anajenga vyoo na kufikisha huduma za maji ndani ya mwezi mmoja.

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Malendi na maeneo ya jirani waliokuwa katika mnada huo wakinyoosha mikono kumsalimia Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi alipowatembelea mnadani hapo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI.

yaani makala yote RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/rc-dkt-nchimbi-atoa-mwezi-mmoja-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC DKT NCHIMBI ATOA MWEZI MMOJA KWA HALMASHAURI YA IRAMBA KUJENGA VYOO KATIKA MNADA WA MALENDI."

Post a Comment

Loading...