Loading...
title : Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM
link : Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM
Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kwa maandalizi ya vikao vya kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM vitakavyofanyika Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine vitajadili waombaji wa nafasi mbali mbali za uongozi kwa nafasi za Mkoa na Taifa kupitia Umoja wa Vijana wa CCM kabla kuwasilisha katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa uteuzi wa mwisho.
(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )
Hivyo makala Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM
yaani makala yote Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/shaka-aongoza-kikao-cha-sekretarieti-ya.html
0 Response to "Shaka aongoza kikao cha Sekretarieti ya Baraza Kuu la UVCCM"
Post a Comment