Loading...

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Loading...
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI
link : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

soma pia


TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

 Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi  wa baraza hilo  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Mkutano wa kuzindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ukiendelea.
Picha na JKCI
 Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu   Andrew Mwalwisi akizindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI Prof. William Mahalu na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu   Andrew Mwalwisi akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Restituta Rugaganya mara baada ya kuzindua baraza hilo leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu   Andrew Mwalwisi akimpongeza  Katibu wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Samweli Rweyemamu mara baada ya kumkabidhi vitendea kazi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

yaani makala yote TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI"

Post a Comment

Loading...