Loading...

TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15

Loading...
TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15
link : TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15

soma pia


TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15

TPA imekabidhi jumla ya vitanda saba (7) vya kujifungulia akina mama pamoja na vyandarua mia tatu (300) kwa hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Musoma iliyopo Mkoa wa Mara.

Hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa tiba hivyo vyenye thamani ya Sh. Milioni 15 imefanyika Jumatatu Oktoba 02, 2017 hospitalini hapo ambapo mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA alivikabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo Naibu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Lazaro Twange amesema msaada huo ambao umetolewa na TPA ni sehemu ya jitihada za kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano za kuboresha sekta ya huduma za afya.

Akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo, Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dk. Vincent Naano ameishukuru TPA kwa kuacha shughuli zake nyingine muhimu na kuamua kutoa msaada huo mkubwa kwa Mkoa wa Mara.

“Msaada huu hautatumika kwa hospitali kuu tu bali utasambazwa kwa vituo vingine vya afya vya bweri, nyasho, mwangi na nyamatare ambako utasaidia kupunguza idadi ya wagonjwa wanaofika hospitali kuu kwa kukosa huduma vituoni” amesema Dk. Naano.

Ameongeza kwamba Wilaya ya Musoma inashirikiana kwa karibu na Mamlaka mbalimbali katika kuwaletea Wananchi wake maendeleo na kukumbusha kwamba mwaka juzi (2015) TPA iliisaidia Wilaya yake kwenye ununuzi wa madawati na sasa imesaidia sekta ya afya na kuwaasa wadau wengine kujitokeza kusaidia hasa katika ujenzi wa madarasa ambao kuna upungufu mkubwa.

Sera ya TPA ya misaada kwa jamii inalenga katika kuchangia huduma za Afya, Elimu na Maendeleo ya Jamii ambapo katika kipindi cha mwaka 2016/2017, yatari Mamlaka imetoa msaada wenye thamani ya Shilingi Milioni 75 kwa bandari zilizopo kwenye Ziwa Victoria pekee.
Naibu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Lazaro Twange (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitanda vya kujifungulia akina mama kwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dk. Vincent Naano (kulia).


Hivyo makala TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15

yaani makala yote TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/tpa-yatoa-msaada-wa-vifaa-tiba-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15"

Post a Comment

Loading...