Loading...
title : KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO
link : KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO
KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akizungumza wakati Mahafali ya Shule Mikocheni Islamic ambapo aliwaasa wazazi kuwataka kuwekeza katika kuwapatia wtoto elimu ya Duniani na dini hili waweze kuja kuwa watumishi waadilifu baadae pindi wanapokuja kuwa viongozi wa Umma.
Katibu wa Shule ya Mikocheni Islamic akizungumza kablaya kumakaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo katika mahafali ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akikagua Maonesho ya kisayansi ya shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakati wa mahafali ya Darasa la Saba ya shule hiyo yaliyofanyika jana.
Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Msingi ya Mikocheni Islamic wakionyesha Umahiri wao wa kuimba Kaswida mbele ya Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kitengo cha Sayansi na walimu wao wa shule ya Msingi Mikocheni Islamic.
Picha na Humphrey Shayo wa Globu ya Jamii
Hivyo makala KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO
yaani makala yote KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/kumsomesha-mtoto-ni-ibada-kubwa-sana.html
0 Response to "KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU - WAZIRI JAFO"
Post a Comment