Loading...

ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ

Loading...
ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ
link : ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ

soma pia


ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ








Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Mshambuliaji wa KVZ Salum Songoro amefungua ukurasa mpya ligi kuu soka ya Zanzibar msimu huu baada kufunga hat-trick ya kwanza katika ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Zimamoto mchezo uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Amaan.
Songoro alifunga bao hizo katika dakika ya 9, 16 na 42, Sultan Juma Kaskas alifunga bao la nne katika dakika ya 61 huku mabao ya Zimamoto yalifungwa na Nyange Othman Denge dakika ya 63 na Idrissa Simai dakika ya 88.
Mapema saa 8 za mchana Taifa ya Jang’ombe na Polisi walishindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika uwanja wa Amaan.
ligi hiyo itaendelea tena kesho Jumanne 17/10/2017 saa 8:00 za mchana Kipanga vs Charawe na saa 10:00 za jioni KMKM vs Kilimani City. 
Jumatano 18/10/2017 saa 10:00 za jioni Black Sailors vs Jang’ombe Boys.


Hivyo makala ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ

yaani makala yote ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/zimamoto-yapigwa-nnesongoro-apiga-hat.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIMAMOTO YAPIGWA NNE,SONGORO APIGA HAT-TRICK YA KWANZA MSIMU HUU ZENJ"

Post a Comment

Loading...