Loading...

DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.

Loading...
DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.
link : DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.

soma pia


DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.

NA TIGANYA VINCENT-RS –TABORA

JUMLA ya wakulima 4,268 wilayani Urambo wamejiandikisha kulima zao la Pamba katika msimu wa kilimo unatarajia kuanza wakati wowote mwezi huu.

Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Urambo Angelina Kwingwa wakati akitoa taarifa ya maandalizi ya kilimo hocho kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey ambaye anazungukia vijiji mbalimbali vinavyolima pamba kwa ajili ya utoaji wa elimu juu ya ulimaji bora.Alisema kuwa idadi ya wakulima wanatoka Kata 15 ambao wamo katika vijiji 49 wameleta makisio yao ya kulima zao hilo na kuongeza wakifanikiwa kulima zinaweza kupatika zaidi tani 2000.

Kwingwa alisema kuwa maandalizi yanakwenda vizuri ambapo wanatarajia kupata mbegu ambazo zimependekezwa na Bodi ya Pamba zisizokuwa na Manyoa tani 31.2 kwa ajili ya kusambaza kwa wakulima kwa ajili ya kuanza kilimo hicho.Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mwanri aliwaonya wakulima na wafanyabiashara kutoingiza mbegu za manyoya ambazo zimepigwa marufuku na kuongeza kuwa mkulima atakayepanda mbegu hizo atalazika kuzing’oa.

“Hapa mbegu tutakayopanda ni UKM08 na sio nyingine …nikikutana mtu amepanda mbegu iliyopigwa marufuku ya manyoa nitavuruga shamba lake na kuwachukulia hatua watu ambao watakuwa wamebainika kuingiza mbegu hiyo” alisisitiza Mwanri.



Hivyo makala DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.

yaani makala yote DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/dc-urambo-wakulima-4268-wajiandikisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO."

Post a Comment

Loading...