Loading...

JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.

Loading...
JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.
link : JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.

soma pia


JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) amesema jumla ya watumishi wa Sekta ya Afya wapatao 2058 wamekwisha pangiwa vituo vya kazi kuanzia leo 06/11/2017 na taarifa zote zinapatikana kwenye mtandao wa Ofisi ya Rais TAMISEMI.

“Taarifa ya watumishi 2058 imekamilika na itarushwa kwenye mtandao wa OR TAMISEMI leo tarehe 6/11/2017 jioni, hivyo Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wanatakiwa kujiandaa kuwapokea watumishi hao ikiwemo kuwapatia stahiki zao”

Amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Waajiri kuhakikisha wanachukua taarifa za watumishi walioripoti na kuwaingiza kwenye Mfumo wa Mishahara na kuwapangia katika maeneo ambayo ya uhitaji mkubwa ili kuboresha huduma za afya nchini.

Pia ameekeza watumishi wanaopangiwa vituo, kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya siku 14 tangu tangazo hili kutolewa.

Aidha, Waajiri wote watoe taarifa juu ya kuripoti kwa watumishio haa wapya na vituo walivyopangiwa siku 14 baada ya kuripoti kwao. Taarifa za Watumishi hao na Vituo vyao vya kazi, inapatikana katika Mtandao wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) wa www.tamisemi.go.tz


Hivyo makala JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA.

yaani makala yote JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/jafo-taarifa-za-watumishi-walioajiriwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAFO: TAARIFA ZA WATUMISHI WALIOAJIRIWA 2058 IMEKAMILIKA."

Post a Comment

Loading...