Loading...
title : KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR
link : KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR
KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR
Mwandishi na Mtunzi wa Kitabu cha Taken For Ride, Dkt. Matteo Rizzo akitoa ufafanuzi juu ya kitabu hicho kinachozungumzia biashara ya Daladala nchini mpaka kufikia kwenye mradi wa mabasi yaendayo Haraka, Mwandishi huyo ameonesha katika kitabu hicho namna biashara ya daladala nchini na katika Uchumi wa mtu mmojammoja wa madereva na Makonda.
Mtafiti wa Taasisi ya Repoa, Dkt. Blandina Kilama akifafanua jambo baada ya kuwasilishwa kwa kitabu cha Taken to Ride kilichoandikwa na Mtafiti, Dkt. Matteo Rizzo.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zubeir Kabwe akichangia mada wakati wa mjadala wa kitabu hicho uliofanyika katika ukumbi wa Repoa Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa masuala ya uchumi nchini, Profesa Honest Ngowi akichangia mada baada ya kuzinduliwa kwa kitabu hicho
Baadhi ya walioshiriki katiika uzinduzi wa kitabu kinachozungumzia masuala ya Daladala na kugusia uchumi katika usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dart.
Hivyo makala KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR
yaani makala yote KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/kitabu-kichozungumzia-uchumi-wa_8.html
0 Response to "KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR"
Post a Comment